mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
umesikika vema mdada.Nina maana kuwa Spika akitoka Zanzibar, Naibu atoke Bara; Spika akiwa Mwanamke, Naibu awe Mwanamme; na Spika akiwa Mwislamu, Naibu awe Mkristo. Ni mambo ya kubalance kama ambavyo Rais wetu Mhe Kikwete huwa anajitahidi kutosheleza wakati anaunda baraza ya Mawaziri, jee nimesomeka???!!!
ila ninacho kijua mimi katiba hii ikipita bila ya Kua na Mahakama ya Kadhi, ambayo katiba ya Kenya
Then, Time will tell.
Toba: Usishangae kwa nini watu wanapata zero darasani au DiV5 kwa Mulugo.
Mbona hii si Mada ya mleta uzi??
Watajua wenyewe, ila ninacho kijua mimi katiba hii ikipita bila ya Kua na Mahakama ya Kadhi, ambayo katiba ya Kenya nchi ambayo waislamu ni idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania, na wana Mahakama ya Kadhi kwa mujibu wa katiba hiyo, basi hakika kwa makusudi Kama Tume ya Jaji Joseph Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi ilivyofanya kudharau maoni ya kundi kubwa la nchi hii Waislamu, na Bunge hili nalo, litakua limeongeza Chumvi kwenye kidonda.
Then, Time will tell.
Hivi Mahakama ya Kadhi ipo kwenye Rasimu?