Bunge la Kenya laamua kua kila mgombeaji ni sharti awe na digrii...tupo?

Bunge la Kenya laamua kua kila mgombeaji ni sharti awe na digrii...tupo?

Kidotulotokordwak

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
286
Reaction score
43
Taarifa ya habari ya Kbc imesema hoja binafsi imewasilishwa bungen ikitaka sifa za mtu kuwa mbunge awe ni degree holder na hoja hii itajadiliwa wiki ijayo,kama ikipita wabunge wenye sec certificate hawataruhusiwa kugombea kwenye uchaguz ujao.WA TZ KATIBA INAKUJA HII NI POINT YA MCNG
 
sasa ndugu yangu Lusinde ,komba ,viki kamata etal inakuwaje? hahaaaa sheria safi sana hii..bungeni wanapaswa kwenda watu wenye upeo sio akina profesa maji marefu..bi kiroboto miaka nenda rudi yuko serikalini kumbe ana diploma ya miaka hiyo ya IDM Mzumbe....
 
Itakuwa poa maana hata Slaa na elimu yake ya upolikapu ataishia kulea watoto wa vijana wa mjini kama anavyofanya sasa.
 
Politics sidhani kama ina demand na higher education, kwa maono yangu nadhani elimu ya kati inakidhi katika tasnia hii, sababu personal skills inahusika sana kwa politician, tumeshaona wasomi wabobezi wakishindwa kufikisha ama kuwasilisha ipasavyo yale waliohitajika kuyafikisha.
Na wale wenye elimu ya kati wakawa wawakilishi wazuri.
 
sasa ndugu yangu Lusinde ,komba ,viki kamata etal inakuwaje? hahaaaa sheria safi sana hii..bungeni wanapaswa kwenda watu wenye upeo sio akina profesa maji marefu..bi kiroboto miaka nenda rudi yuko serikalini kumbe ana diploma ya miaka hiyo ya IDM Mzumbe....

wakafanye kaz na diploma zao
 
Politics sidhani kama ina demand na higher education, kwa maono yangu nadhani elimu ya kati inakidhi katika tasnia hii, sababu personal skills inahusika sana kwa politician, tumeshaona wasomi wabobezi wakishindwa kufikisha ama kuwasilisha ipasavyo yale waliohitajika kuyafikisha.
Na wale wenye elimu ya kati wakawa wawakilishi wazuri.

angalia baathi ya faida,2tacrea e nafac za ajira kwa wasomi mitaani,2kiwa na wabunge wasomi watatetea maslai ya wasomi,idadi ya pumba itapungua bungeni,mikakat ya kimaendeleo itaenda vizur,n.k
 
hakuna kitu hapa bongo kitakacho chenji.. wasomi wenyewe ndio hao wakina lameck aka chemba, wakina msola, wakina masha, wakina sita, chenge full wanafiki tu na wezi wakubwa... hakuna kitu hapo bongo tatizo ni mfumo... na kukosa uwajibikaji... mtu anajua hata akiboronga hawezi kuwajibishwa kozi mkuu wa nchi ni zaifu
 
Nadhani na hapa kwetu tunatakiwa tuanze kuliangalie hili. Tunaweza kuweka muda i.e 3 or 5 years kuanzia sasa ili watu wanataka kuwania nafasi hizo waanze kujitayarisha. Na lazima iwe academic degree na sio degree za kupewa mezani. Na pia lazima iwe kutoka chuo kinachojulikana na kukubalika.
 
kuna wengine wanhizo degree na bado wanaongea pumba kama mwigulu
 
mi nadhani na shule za jioni ni muhimu kwa wabunge wetu. They need to be constantly educated (intellectually) na wataalamu kuhusu mambo mbalimbali.
 
Sasa hii ikija, Kiongozi wa upinzani bungeni atamwaga manyanga! Na Slaa hatoweza kugombea tena!
 
Sasa hii ikija, Kiongozi wa upinzani bungeni atamwaga manyanga! Na Slaa hatoweza kugombea tena!

Kiongozi wa upinzani bungeni ameunga unga hadi certificate za Udijei, kazi ipo kwa huyo msomi liturjia aliyebobea kuiba wake wa watu.
 
Taarifa ya habari ya Kbc imesema hoja binafsi imewasilishwa bungen ikitaka sifa za mtu kuwa mbunge awe ni degree holder na hoja hii itajadiliwa wiki ijayo,kama ikipita wabunge wenye sec certificate hawataruhusiwa kugombea kwenye uchaguz ujao.WA TZ KATIBA INAKUJA HII NI POINT YA MCNG

UNAWASHWA ee?
 
Back
Top Bottom