Kidotulotokordwak
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 286
- 43
Wananiita SUGU.
sasa ndugu yangu Lusinde ,komba ,viki kamata etal inakuwaje? hahaaaa sheria safi sana hii..bungeni wanapaswa kwenda watu wenye upeo sio akina profesa maji marefu..bi kiroboto miaka nenda rudi yuko serikalini kumbe ana diploma ya miaka hiyo ya IDM Mzumbe....
tutamtafutia ukurugenzi
Politics sidhani kama ina demand na higher education, kwa maono yangu nadhani elimu ya kati inakidhi katika tasnia hii, sababu personal skills inahusika sana kwa politician, tumeshaona wasomi wabobezi wakishindwa kufikisha ama kuwasilisha ipasavyo yale waliohitajika kuyafikisha.
Na wale wenye elimu ya kati wakawa wawakilishi wazuri.
Sasa hii ikija, Kiongozi wa upinzani bungeni atamwaga manyanga! Na Slaa hatoweza kugombea tena!
Taarifa ya habari ya Kbc imesema hoja binafsi imewasilishwa bungen ikitaka sifa za mtu kuwa mbunge awe ni degree holder na hoja hii itajadiliwa wiki ijayo,kama ikipita wabunge wenye sec certificate hawataruhusiwa kugombea kwenye uchaguz ujao.WA TZ KATIBA INAKUJA HII NI POINT YA MCNG
so unataka kupotosha uma sio kwa kusema taaluma sio lolote katika uongozi.wakafanye kaz na diploma zao