Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
- Thread starter
-
- #21
This look like fight for power.Ruto locked out of House Business team
MPs secret night meetings see Parliament adopting powerful House team list that excludes Ruto and allies.
This look like fight for power.
..Not really mkuu. Hapa kuna ile naita 'survival to remain relevant.'
Kenya's political scene imekua dramatic na baada ya mwaka huu
kuna watu watakumbwa na maswala kibao that could shatter their
political relevancy for good. Ruto ni mmoja wa hao watu na Uhuru
Kenyatta ni wa pili.
ODM wameshajua huyu bwana ni ndumilakuwili na hawana time
naye tena. Watu wana kikao kumaua maswala ya chama kisha yeye
anaenda kando kabisa na mapendekezo ya wenziye. To make it
worse anachukua side ya PNU ambao ni wapinzani na ODM.
Therefore it became a prudent move for the ODM hierarchy to do
this early ili kuondoa nuksi.