Bunge la Kenya lamng'oa waziri wa Fedha -Kimunya


Huyu Kimunya ni mpuuzi kwelikweli jana nilimsikia akisema hawezi kujiuzulu labda awe amekufa au Waziri Mkuu ajiuzulu, Mwanasheria Mkuu ajiuzulu na Orengo ajiuzulu. Zilikuwa kauli za kibri, kejeli, na dharau kwa Bunge na Wananchi wa Kenya.

Bunge la Kenya limethibitisha kuwa si kwa Malahi ya Wanasiasa na Watawala bali kwa Maslhi ya Kenya na Wa-Kenya. Bunge letu lina kitu cha kujifunza hapohasa kuhusiana na majibu na kauli za Ki-Mkullo Mkullo and Co.
 

Ila mkumbuke ni kwamba amejiuzuru na sasa Rais Kibaki kateua waziri kukaimu nafasi yake hadi uchunguzi uishe. Kama itaonekana hana makosa ya kumfanya afukuzwe atarudishwa madarakani. Tusubiri tuone matokeo ya uchunguzi wa kamati ya rais. Raisi Kibaki na mh. kimunya are best friends, they share a lot in common, therefore, should not be surprise to find out that the committee clears kimunye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…