Bunge la makinda na The Financial Act 2011

mbasajohn

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2009
Posts
247
Reaction score
39
leo nilikuwa nafatilia bunge wakati linapitisha sheria ya fedha ya mwaka 2011 lakin mwenendo alioutumia Mweshimiwa Makinda kukataa mabadiliko yaliyopendekezwa na Dhambi na Tundu Lisu na Mnyika sijaufurahia maana unageuza bunge kuwa puppet wa serikali na serikali kuwa watunga sheria kitu ambacho si kizuri kwa masirah ya taifa letk
 
Kwani anatoa sababu gani za kupinga mapendekezo ya hao wabunge?
Kwa sasa system ilivyo, bunge ni rubber stamp ya serikali. Solution moja inaweza kuwa kubadilisha mfumo wa uchaguzi.
 
Mwenzetu ulikuwa unafuatilia Bunge Gani? Waliokataa mapendekezo ni wabunge wa CCM na wala si Makinda, na sheria haimruhusu yeye kufanya hivyo.
 
for sure, we need to change the whole system of how MP's should vote when passing bills especially those which involve public interest so that we can have records of MP's and what they have voted for in the whole time of their representation. the Ndio, hapana style which we are using at the time is not good and i think read to most MP's to vote in support of their part instead of their people, as they know no one will know who voted for what and who did not.
 
Mwenzetu ulikuwa unafuatilia Bunge Gani? Waliokataa mapendekezo ni wabunge wa CCM na wala si Makinda, na sheria haimruhusu yeye kufanya hivyo.
mtazamo wang n jns anavyotumia fimbo yak kudtermine saut za ndio na hapana, smtime nahs kama hakuna logic wala consstenc kweny finding zak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…