The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo
Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga kura za kumuondoa Rais huyo kwa kile wanachodai kuwa sio muadilifu kazini
Katika zoezi la kura wabunge 101 walipiga kura za ndio. na hapana 6 huku kura 10 zikiharibika.
HUKU KWETU TANZANIA JANA MZEE MAKAMBA ALISHINDWA KUONESHA BUSARA PALE ALIPOULIZWA SWALI NA MWANDISHI KUHUSU MGAO WA UMEME NCHINI WIZARA INAYOSIMAMIWA NA MWANAE JANUARY.