jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Lipo tatizo tena kubwa mno kwenye Mhimili wetu wa Bunge la Tanzania.
Binafsi,hadi mchana wa leo sikuwa natambua kwamba vikao vya Bunge vimeanza huko Dodoma na imani yangu ni Watanzania wengi ambao pia hawaelewi kuhusu vikao hivyo kama vimeanza.
Sasa,kwa aina hiyo ya kupuuzwa lazima Bunge letu litambue upo walakini wa kwa nini raia hawapendi tena kufuatilia mambo yahusuyo mhimili huo.
Lazima Bunge lielewe ni wazi limepuuzwa!