kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,624
- 12,206
Jamaa wanazingua sana ndiyo maana kuna mdau ameandika sasa hivi mihimili miwili imeungana umekuwa mmoja .... Rais + BungeRubber stamp ya SSH
UNA MBUNGE KAMA MUSUKUMA NA MSAMBWANDAVANGU UNATEGEMEA NINI ?
WABUNGE WAMEKUA WAOGA MNAKUA NA SPEAKER MUOGA MUOGA MLINDA MASLAHI YA MUHIMILI WA EXECUTIVE UNATEGEMEA NINI??
Sahihi kabisa,kama huyu wa Iringa,anasema kabisa vituo vya polisi wamewapa marungu na Bunduki ili watu wajue kazi ya hivyo vifaa!Kweli huyu ni mbunge?!Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.
Bunge la Tanzania.
- Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na kumtetea hata anapokosea wananchi, hakuna namna hata ndogo jamaa wanakuja na hoja za kumrekebisha Rais ... hata Gwajima amefanya press hajataka kutumia kofia ya ubunge.
- Ni Bunge lenye wabunge wote wakuteuliwa na Rais Magufuli na sio kwa kura za wananchi kwa maana mi ninavyojua waliiba kura hawakushinda kihalali.
- Ni Bunge ambalo wabunge wake asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha na wenye elimu wamekuwa brainwashed hii ndio sababu wakitaka kukosoa wanakuja kuongelea nje ya bunge maana hata hawa wenye uelewa kidogo wanaona ndani ya lile jengo kuna vilaza hawawezi kuelewana.
- Ni Bunge ambalo wabunge wake wanaweza kutukana wananchi kama vile afanyavyo Rais kwa maana ukimuita mtu kenge ni tusi na ni mfano wa Rais aliyeita watu Mbwa na Lijitu.
Je nikisema lile jengo la Dodoma ni jengo la wezi wa kura, machawa wa rais, makutano ya wateuzi makatili wanaotukana wananchi ntakuwa nakosea ni mtazamo wangu unaweza kuusahihisha.
Jamaa wanazingua sana ndiyo maana kuna mdau ameandika sasa hivi mihimili miwili imeungana umekuwa mmoja .... Rais + Bunge
Huyo dada kipindi nasoma Iringa harakati zake zilikuwa hivo hivo kujipendekeza pendekeza na ndicho kilichomfikisha pale ... hii nchi inaendeshwa na watu wakujipendekeza ndio maana hawana kitu wataongea kutetea wananchi hawako competent.Sahihi kabisa,kama huyu wa Iringa,anasema kabisa vituo vya polisi wamewapa marungu na Bunduki ili watu wajue kazi ya hivyo vifaa!Kweli huyu ni mbunge?!
Mhimili gani mmoja uliobakia active?Mpk sasa naona muhimili ambao upo ative ni mmoja tu kati ya mitatu, maana hii miwili yote imejiunga na kuwa mmoja, ndio maana hata huu muhimili baada a kuukosoa na kuushauri huu muhimili mwingine umekuwabwa kusifia na kueneza propaganda za kusifia tu(Uchawa)