Bunge la Ufaransa lapitisha Sheria ya kupiga marufuku biashara ya ukahaba

Bunge la Ufaransa lapitisha Sheria ya kupiga marufuku biashara ya ukahaba

Grahams

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
16,096
Reaction score
49,651
Nchi ya Ufaransa imepiga marufuku biashara ya ukahaba na ngono kwa ujumla. Iwapo utakutwa unanunua kahaba(ngono) utapigwa faini ya dollar za kimarekani 4500.

Je, unadhani kuna umuhimu nasisi watz kuwa nasheria kama hizo juu ya biashara hii kongwe duniani?
 
Ndio...ila itakuwa vigumu watu kuacha biashara hii kwani imekuwa ni chanzo cha kipato!
 
Inabidi ihalarishwe, sio kupiga marufuku hapa kwetu.

Kupiga marufuku take aways hapa Tanganyika itakua sio jambo jema. Bado tunahotaji huduma ya take away.

Wakipiga marufuku hapa mjini watakua wametumaliza wateja wake.
 
Hata bongo marufuku lakini ni ngumu kuzuia
Ni marufuku lakini, inafanywa kwa Siri. Kwa kuwa maeneo yanapofanyika biashara hii kwa Tanzania yanajulikana, tukiamua kuidhibiti tunaweza, hasa kipindi hiki cha mlipuko wa Corona, ambapo watu hawatakiwi hata kugusana 😄😄
 
Inabidi ihalarishwe, sio kupiga marufuku hapa kwetu.

Kupiga marufuku take aways hapa Tanganyika itakua sio jambo jema. Bado tunahotaji huduma ya take away.

Wakipiga marufuku hapa mjini watakua wametumaliza wateja wake.
Mkuu take a way!😄😄

Ila Kuna haja ya kuharalishwa, ukizingatia tunaweza kusanya kodi nyingi zaidi.

Imagin kwa dau la akina Tally hunter yule demu wa kwenye exotictanzania la shilingi 500,000 kwa usiku mmoja manake hapo tungepata 90,000 kodi alafu yake ingekuwa 410,000. What a Tax 😂😂
 
Ndio...ila itakuwa vigumu watu kuacha biashara hii kwani imekuwa ni chanzo cha kipato!
Kwahiyo Mkuu Kuna haja ya kuharalishwa?

Ila kwa hali ya ajira sasahivi, akina dada wengi wamejiingiza kwenye huo ujasiliamali😄
 
Nchi ya Ufaransa imepiga marufuku biashara ya ukahaba na ngono kwa ujumla. Iwapo utakutwa unanunua kahaba(ngono) utapigwa faini ya dollar za kimarekani 4500.

Je, unadhani kuna umuhimu nasisi watz kuwa nasheria kama hizo juu ya biashara hii kongwe duniani?
Corona noma sana... Hivi hawa si ndo waasisi wa French kiss??[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom