Ni marufuku lakini, inafanywa kwa Siri. Kwa kuwa maeneo yanapofanyika biashara hii kwa Tanzania yanajulikana, tukiamua kuidhibiti tunaweza, hasa kipindi hiki cha mlipuko wa Corona, ambapo watu hawatakiwi hata kugusana 😄😄Hata bongo marufuku lakini ni ngumu kuzuia
Mkuu take a way!😄😄Inabidi ihalarishwe, sio kupiga marufuku hapa kwetu.
Kupiga marufuku take aways hapa Tanganyika itakua sio jambo jema. Bado tunahotaji huduma ya take away.
Wakipiga marufuku hapa mjini watakua wametumaliza wateja wake.
Corona noma sana... Hivi hawa si ndo waasisi wa French kiss??[emoji23][emoji23][emoji23]Nchi ya Ufaransa imepiga marufuku biashara ya ukahaba na ngono kwa ujumla. Iwapo utakutwa unanunua kahaba(ngono) utapigwa faini ya dollar za kimarekani 4500.
Je, unadhani kuna umuhimu nasisi watz kuwa nasheria kama hizo juu ya biashara hii kongwe duniani?
Kabisa, hawa ndiyo french kisses ilipoanzia.Corona noma sana... Hivi hawa si ndo waasisi wa French kiss??[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app