Nunua Toka UK
JF-Expert Member
- Apr 17, 2023
- 265
- 540
Bunge la Uingereza (House Of Common) leo limepigia muswada kura muswada wa “assisted - dying” wa wagonjwa ambao wana terminal illness kuweza kusaidiwa kujiuwa.
Wabunge 330 wamepiga kura ya ndio na wabunge 275 kura ya hapana.
Huo muswada unapelekwa kwenye House Of Lord ili kupishwa kuwa sheria.
Hii sio mara ya kwanza kwa Uingereza kujaribu kupisha huu Muswada. 2015 ulipelekwa bungeni lakini ulipata kura chache.
Watu na taasisi mbali mbali zimetoa masikitiko yao kutokubalia na huu muswada kupitishwa.
Soma zaidi hapa: MPs back landmark bill to legalise assisted dying in England and Wales