Huu umeswada ulipelekwa bungeni na Kim Leadbeater, Labour MP ambaye ni dada yake na aliyekuwa mbunge wa Labour marehemu Jo Cox ambaye alishawahi kufanya kazi Bill and Melinda Gates Foundation.
Hii sasa inajenga picha kwa nini watu wamekuwa wanampiga vita Bill Gates.