Bunge laazimia kumsulubu Makonda

Bunge laazimia kumsulubu Makonda

aleez

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
46
Reaction score
7
Naomba muongozo watu wa sheria, Hivi bunge likimuazimia mh. Makonda linaweza kumfanyaje endapo litampata na hatia ya linalomshutumu?? Maana naona kama Mh. Makonda yupo mbali nao na kumuwajibisha ni mbali au hata hawamgusi

Naombeni msaada ili nielewe tu.
 
Kuna wakuu wa mikoa wangapi ?! Huyu makonda anatafuta sifa kulikopitiliza , mkoa kama Dar alitakiwa Rc mature si huyu mwenye mihemko na ujana unamsumbua huyu
 
Back
Top Bottom