Naomba muongozo watu wa sheria, Hivi bunge likimuazimia mh. Makonda linaweza kumfanyaje endapo litampata na hatia ya linalomshutumu?? Maana naona kama Mh. Makonda yupo mbali nao na kumuwajibisha ni mbali au hata hawamgusi
Naombeni msaada ili nielewe tu.