Bunge labaini madudu vitambulisho vya taifa

Bunge labaini madudu vitambulisho vya taifa

Joined
Sep 30, 2014
Posts
95
Reaction score
47
IMG_20211026_103518_636.jpg
 
Mbwembwe tu za hili bunge dhaifu la mazuzu.

kila siku utasikia tumegundua madudu mara ATCL mara wapi halafu hawachukui hatua , wakiitwa dhaifu na mazuzu wanawaka.
Mazuzu kabisa hawa jamaa
tena ni wapuuzi na kama wamegundua wamefanya nini.haya madudu mbona yapo tu miaka nenda miaka rudi.nida ni chaka la majambazi hao hao la kujichotea pesa.tunapigwa matozo wapuuzi wachache wanajichotea tu.
 
Zuzu alikutana na mtu amebeba mtoto akikimbiza hospital...
Akamuuliza mtoto amefanyaje mbona huko na mshtuko!!
Jamaa akamjibu ZUZU kistaarabu akijua ataweza kumsaidia mawazo au kumpatia tiba ya yule mtoto aliemeza shilingi 100..
Hivyo akamjibu mtoto wangu amemeza sh 100 ndo mana sina raha nna hofu tuu hapa!!!

Zuzu alicheka sanaaa!!hadi jamaa akamshangaa!
Kisha zuzu akamjibu JE ANGEMEZA ELFU10 ingekuwaje???!!!sh mia tuu unahaha hivyo
 
Wakajifaraghua nini kuanzisha uandikishaji nchi nzima, si wangeenda mkoa kwa mkoa?
Wala hata haitaji hivyo kwa technolojia jinsi ilivyo ni rahisi sn inapaswa tu kuunganisha taarifa za mtu kutoka kwenye leseni, kitambulisho cha kura, passport, TRA(TIN), NECTA, NACTE, TCU n.k mtu akatengenezewa online, kama walivyofanya certificate za covid hapo ni urasimu na upigaji tu unatusumbua.
 
tena ni wapuuzi na kama wamegundua wamefanya nini.haya madudu mbona yapo tu miaka nenda miaka rudi.nida ni chaka la majambazi hao hao la kujichotea pesa.tunapigwa matozo wapuuzi wachache wanajichotea tu.
Hii nchi ndiyo maana watawala wamejiwekea kinga kutoshitakiwa maana huwa wanapakua haswa
 
Madudu gani tena hayo???

Vp ianze zoezi upyaaa au

Ova
 
Back
Top Bottom