Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Bunge limepata tuzo ya mshindi wa kwanza wa taarifa bora ya hesabu ya mwaka 2023, ambapo akifungua mkutano huo wa 18 wa Bunge, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).