Bunge lapata tuzo ya mshindi wa kwanza wa taarifa bora ya hesabu ya mwaka 2023

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Bunge limepata tuzo ya mshindi wa kwanza wa taarifa bora ya hesabu ya mwaka 2023, ambapo akifungua mkutano huo wa 18 wa Bunge, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema tuzo hiyo imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).

Your browser is not able to display this video.
 
Chawa kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…