johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nasikia na Bunrundi walikuwa wanapanga kumpongeza wa kwao kwa kuishinda corona... sasa imemuondoa kwa ukaidi wake! Masikini mke wake anapambania maisha yake. Mungu amsaidie masikini apone angalau watoto wabaki na mamaBunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona.
Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona.
Chanzo: Star tv habari!
Maendeleo hayana vyama!
Maombi ni mbinu pia!Mbona mm sijaona mbinu yoyote au ni yale maombi
Bwashee hapa hatuizungumzii Burundi!Nasikia na Bunrundi walikuwa wanapanga kumpongeza wa kwao kwa kuishinda corona... sasa imemuondoa kwa ukaidi wake! Masikini mke wake anapambania maisha yake. Mungu amsaidie masikini apone angalau watoto wabaki na mama
Tunajifunza kutoka Burundi, Mungu ametenda sawa!Bwashee hapa hatuizungumzii Burundi!
Haya mambo yalivokua yanafanyika burundi na manchi mengine ya kipumbavu tulikua tunaapa kwamba hayawezi kutokea hapa tanzania maana yanatia aibu... ila sasa here we are..... kweli never say neverAiseee, kuna watu hawana aibu kabisaa
Amesha tweet kwa niaba ya taifa kwa msiba wa aliyekuwa raisi wa Burundi?
Wote viaziBunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona.
Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona.
Chanzo: Star tv habari!
Maendeleo hayana vyama!