The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Hapa hata mtu asiye na akili atakwambia huu ni utoto..
Nimekumbuka kipindi unamtamkia mchumba wako kwamba umemuacha, analalamika,analia halafu baada ya siku mbili kuisha anakutumia ujumbe mfupi anakutaarifu hata yeye pia alishafikiria kukuacha muda mrefu sana!
Kwa lugha nyepesi hiki ni kichekesho tena cha kuvunja mbavu!
Hongera Lazaro Nyalandu, umewashika sawasawa!
Hii imegonga kwenye maungio mkuu, kuna sehemu mwilini ukiguswa kwa kirungu kaumivu yake hayaelezeki.Duh, inaelekea imewauma kweli kusikia kuwa Jamaa kajitoa CCM ................!!
Wameamua kutwist taarifa ili kwenye kumbu kumbu zao ionekane kuwa hakujiuzulu bali amefukuzwa!!
Nyalandu ni mtu mwenye haiba sana katika jamii ya kitanzania na kimataifa kwa hiyo ni lazima chama chake na serikali vitikisike!Issue ya Nyalandu mbona inawawasha sana mafisiemu wakati wanamkandia na kusema yeye si lolote na si chochote?
Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??hahahaha..yapi hayo..haya yaliyokuwa highlighted hapa..kwamba CCM ilikuwa inachukizwa na kauli zake...na kumbe sio ufisadi wake...hahahhahahaahah...akili zenu hakuna aiseee
View attachment 621955
Mwenyekiti mpaka anakoboa shudu zake kule kwa wala sangara, alikuwa na taarifa ya hiyo barua ya chama? Kama alikuwa nayo na (ninavyomjua mimi) kwanini aliishia kulia lia kuwa Majizi ndio yanakimbilia chadema, kuliko kusema alishatimuliwa muda mrefu?Hiyo your take hiyo ndiyo umevuruga mambo kabisa;
Hata hivyo;
Amebipu wenzake wamempigia; sasa historia itasomeka kuwa CCM ndio imemmwaga Nyalandu kutokana na makando kando yake na sio yeye kukiacha chama.
hahahahha..mkuu ....ni hatari sanaHapa Spika, Bunge na CCM wote wamejamba hadharani.
Handling ya suala hili ndio imetudhibitishia kuwa tunaongozwa wa akili ndogo. Kuendelea kuiacha akili ndogo itawale/iongoze akili kubwa ni ku-invite a Manace to Society.
Hima mtanzania, Amka kumekucha hawajamaa wameshachoka kufikiria na wamepoteza sifa kuongoza watanzania. Hivi kweli enzi za Mwalimu tungeona hizi salakasi za kitoto?? Shame on!!!
CCM ndio mwalimu wa siasa hapa nchini na Afrika kwa ujumla wake kumbuka hilo.Mwenyekiti mpaka anakoboa shudu zake kule kwa wala sangara, alikuwa na taarifa ya hiyo barua ya chama? Kama alikuwa nayo na (ninavyomjua mimi) kwanini aliishia kulia lia kuwa Majizi ndio yanakimbilia chadema, kuliko kusema alishatimuliwa muda mrefu?
hahahahhaa...aisee Nyalandu kawakamata mkashikika.Usikurupuke kijana, angalia katika hayo uliyohiglight kuna "Vitendo", meaning ufisadi included; sasa utakua umeelewa kilichoandikwa hapo. Au wewe ulitaka iandikwe ufisadi moja kwa moja??
Mikakati yao ni vituko,vichekesho!hahahahah..Sikuadhani kuwa nyalandu anaweza kuwashika hivi..he used to be a silent Guy ..always
hahahahah..Yaani wanaweza ku back date hata hiyo barua ikasomeka walishamfukuza tangu mwaka 1999CCM hata kama ilikuwa haijamfukuza Nyalandu ina uwezo wa kurudisha muda nyuma, kumfukuza huko nyuma, halafu kuurudisha muda mbele tena iwe ilimfukuza huko nyuma.
Hiyo ndiyo nguvu ya CCM.