Mbowe akaandamane Sasa maneno mengi ya nini?Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma.
Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip iliyokuwa na matamshi ya Mbowe kuchezwa bungeni.
Clip hiyo ilichezwa kwa sekunde chache kabla ya spika kuisitisha akidai itakuwa ndefu mno na kutaka kichezwe kipande kifupi. Hata hivyo ilishindikana kuendelea na usikilizaji wa maneno ya Mbowe kutokana na ufinyu wa muda.
Bunge lisilo na upinzani ni kama mahubiri makanisani au misikitini.
Bunge linalilia upinzani kwa namna mbalimbali.Mbowe akaandamane Sasa maneno mengi ya nini?
Kwa hiyo nawe ulikuwa kanisani kusikikiza pambio siyo?Mbowe akaandamane Sasa maneno mengi ya nini?
kibur cha madalali wa mwarabu kitawaisha tu siku yenu inakuja na hamtaaminMbowe akaandamane Sasa maneno mengi ya nini?
yote yaliyomo humo ni mapumbavu tu ndio maana yanajadili mtu ambaye hayumo bungeni.Yaani hawa vilaza jana walifanya Mbowe ndiyo mjadala wenyewe kila aliyemkandia alishangiliwa sana
Huna lolotekibur cha madalali wa mwarabu kitawaisha tu siku yenu inakuja na hamtaamin
Siku hii ikifika nitaruka ruka kwa furaha sana.Wabunge wapuuzi, wameshindwa kujibu maswali ya watanzania kuhusu mkataba wa hovyo walioingia wameishia kumjadili Mbowe!.
Lile bunge ni kutafuta drone idondoshe kitu pale.