Bunge lawasilisha Muswada wa Kupinga Ushoga

Bunge lawasilisha Muswada wa Kupinga Ushoga

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wabunge wamewasilisha Bungeni Muswada unaopendekeza adhabu mpya kali kwa wanaojihusisha na uhusiano wa jinsia moja, licha ya ukosoaji kutoka kwa Mashirika ya kutetea haki za binadamu

Chini ya sheria inayopendekezwa, mtu yeyote anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja au anayejitambulisha kama LGBTQ anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miaka 10 jela

Wadau wa Haki za Binadamu wamelaani hatua hiyo na kutoa wito kwa Wanasiasa Nchini humo kuacha kuwalenga watu wa LGBTQ kwa mtaji wa Kisiasa

...................

Uganda presents anti-gay bill in parliament
AFP By AFP Published on: March 10, 2023 08:44 (EAT)

Uganda presents anti-gay bill in parliament

Annet Anita Among, the speaker of parliament, referred the bill to a house committee for scrutiny, the first step in an accelerated process to pass the proposal into law.

Ugandan lawmakers on Thursday introduced legislation to parliament that proposes tough new penalties for same-sex relations in a country where homosexuality is already illegal, defying criticism from human rights groups.

Annet Anita Among, the speaker of parliament, referred the bill to a house committee for scrutiny, the first step in an accelerated process to pass the proposal into law.

There would be "a public hearing" in which sexual minorities would be allowed to participate, she said in an address before parliament laced with homophobic language.

"Let the public come express their views -- including the homos -- allow them to come," she said.

The bill comes as conspiracy theories accusing shadowy international forces of promoting homosexuality gain traction on social media in conservative Uganda.

Under the proposed law, anyone who engages in same-sex activity or who "holds out" as LGBTQ could face up to 10 years' imprisonment.

It is unclear how long the parliamentary process could take.

Among said when the time came, legislators would vote on the bill one-by-one in front of their peers.

"This is the time you are going to show us if you are a homo or not," she said.

Uganda is notorious for intolerance of homosexuality -- which is criminalised under colonial-era laws -- and strict Christian views on sexuality in general.

But since independence from Britain in 1962 there has never been a conviction for consensual same-sex activity.

Rights groups say the law would result in further persecution of a vulnerable minority group.

In 2014 Ugandan lawmakers passed a bill that called for life in prison for people caught having gay sex, although a court later struck down the law.

Human Rights Watch (HRW) on Thursday said the new legislation was "a revised and more egregious version" of the 2014 bill.

"Ugandan politicians should focus on passing laws that protect vulnerable minorities and affirm fundamental rights and stop targeting LGBT people for political capital," said Oryem Nyeko, Uganda researcher at HRW

Source: Citizen Digital
 
Hivi hawa haki za binadamu, wameumbwa na Mungu kweli au ni mapepo fulani hivi ktk mwili yamekuja kusumbua wanadamu. Kama wao wanaona ni haki wakafanye binafsi yao huko wawaache waganda salama. Shame
 
Safi sana; ikiwezekana hiyo sheria isisitize kuwapima wanaume wote ili kuweza kuwabaini.
 
Hivi hawa haki za binadamu, wameumbwa na Mungu kweli au ni mapepo fulani hivi ktk mwili yamekuja kusumbua wanadamu. Kama wao wanaona ni haki wakafanye binafsi yao huko wawaache waganda salama. Shame
Museven goigoi hana ubavu wa kupitisha hiyo sheria.

Hapa wanaruka ruka tu kama njugu kwenye sufuria.
 
Hivi hawa haki za binadamu, wameumbwa na Mungu kweli au ni mapepo fulani hivi ktk mwili yamekuja kusumbua wanadamu. Kama wao wanaona ni haki wakafanye binafsi yao huko wawaache waganda salama. Shame
Wao kila kitu ni haki za binaadamu, sijui tuwawekw kundi gani, wanatuharibia jamii zetu sana

Kuna hawa wanaojiita haki za binaadamu na hawa feminist, wanapoteza dhana nzima ya ubinaadamu
 
Back
Top Bottom