Bunge laweza shtakiwa mahakamani?

Bunge laweza shtakiwa mahakamani?

Kwa kosa gani Bunge kishitakiwe.....???
Kwa maamuzi ya kibunge bungeni.Mfano mbunge hawezi shtakiwa popote kwa lolote alilolisema nk akiwa ndani ya ofisi za bunge.Sasa bunge Kama bunge maamuzi yake yanayohusu bunge lenyewe .Laweza shtakiwa mahakamani?
 
..ikitokea ndani ya bunge, mbunge mmoja akamchoma kisu mbunge mwenzake, je shauri halitapelekwa mahakamani?

..mahakama inauwezo wa kusikiliza shauri kuhusu uamuzi wa bunge kubainisha kama uamuzi huo umekiuka katiba au kanuni ambazo bunge lenyewe limejiwekea.

..mahakama pia inaweza kusikiliza shauri linalohoji kama sheria iliyopitishwa na bunge inakiuka katiba au la.
 
Sasa hivi serikali ina mahusiano yasiyofaa na bunge, yatosha kusema serikali imelibaka bunge awamu hii,na kama tunavyojua ndoa hii haikubaliki na dini zote hata na wasioamini. kwa muktadha huo si Bunge tu linaweza kupelekwa mahakamani bali hata serikali inaweza kushitakiwa kwa maana kazi ya Mahakama ni kutafsiri sheria na kutoa hukumu ya haki! Asante
 
Yes bunge linaweza kushitakiwa mahakamani.....
Na order za mahakama kama kuzuia kuapishwa mbunge ama kuzuia vikao ama chochote kama necessary mahakama inaweza kuingia hapo.
 
Yes bunge linaweza kushitakiwa mahakamani.....
Na order za mahakama kama kuzuia kuapishwa mbunge ama kuzuia vikao ama chochote kama necessary mahakama inaweza kuingia hapo.
Adhabu gani bunge laweza pewa likikutwa na hatia
 
Kuna mihimili mitatu serikali,bunge na mahakama.Bunge ndio hutunga Sheria.Swali Ni je bunge laweza shtakiwa mahakamani?
Yes,kuna sheria kadhaa zilizowahi kutungwa na bunge na watu wadau wakaenda kulalamika mahakamani na mahakama ikazipindua hizo sheria!
 
Lisipotii kubatilisha maamuzi ya mahakama inakuweje

..itategemea mahakama imetoa maelekezo gani na kwa nani.

..nadhani hata kanuni za bunge zinawaelekeza watumishi wake kutii maamuzi ya mahakama.
 
Kazi ya mahakama ni kutafri sheria kwahiyo hata iwe bunge au serikali endapo itafanya/kutenda kinyume na sheria waliyoitunga wao wenyewe bas mahakama itafanya kazi yake.
 
Bunge likikiuka katiba linaweza kushtakiwa. Huenda akili za spika alidhani bunge totalitarian organ. Sasa anaanza kutafuta busara za AG eti ili akamjibu Lissu!
 
Back
Top Bottom