Kwa kosa gani Bunge kishitakiwe.....???Kuna mihimili mitatu serikali,bunge na mahakama.Bunge ndio hutunga Sheria.Swali Ni je bunge laweza shtakiwa mahakamani?
Kwa maamuzi ya kibunge bungeni.Mfano mbunge hawezi shtakiwa popote kwa lolote alilolisema nk akiwa ndani ya ofisi za bunge.Sasa bunge Kama bunge maamuzi yake yanayohusu bunge lenyewe .Laweza shtakiwa mahakamani?Kwa kosa gani Bunge kishitakiwe.....???
Kwa maamuzi ya kibunge bungeni.Mfano mbunge hawezi shtakiwa popote kwa lolote alilolisema nk akiwa ndani ya ofisi za bunge.Sasa bunge Kama bunge maamuzi yake yanayohusu bunge lenyewe .Laweza shtakiwa mahakamani?
Sasa hivi serikali ina mahusiano yasiyofaa na bunge, yatosha kusema serikali imelibaka bunge awamu hii,na kama tunavyojua ndoa hii haikubaliki na dini zote hata na wasioamini. kwa muktadha huo si Bunge tu linaweza kupelekwa mahakamani bali hata serikali inaweza kushitakiwa kwa maana kazi ya Mahakama ni kutafsiri sheria na kutoa hukumu ya haki! Asante..ikitokea ndani ya bunge, mbunge mmoja akamchoma kisu mbunge mwenzake, je shauri halitapelekwa mahakamani?
..mahakama inauwezo wa kusikiliza shauri kuhusu uamuzi wa bunge kubainisha kama uamuzi huo umekiuka katiba au kanuni ambazo bunge lenyewe limejiwekea.
..mahakama pia inaweza kusikiliza shauri linalohoji kama sheria iliyopitishwa na bunge inakiuka katiba au la.
THESE ISSUES ARE BEYOND YOUR COGNITIVE DOMAIN! LEVEL YAKO NI KUPIGA MAKOFI TU!Kuna mihimili mitatu serikali,bunge na mahakama.Bunge ndio hutunga Sheria.Swali Ni je bunge laweza shtakiwa mahakamani?
Ndio umueleweshe sasaTHESE ISSUES ARE BEYOND YOUR COGNITIVE DOMAIN! LEVEL YAKO NI KUPIGA MAKOFI TU!
Yes,kuna sheria kadhaa zilizowahi kutungwa na bunge na watu wadau wakaenda kulalamika mahakamani na mahakama ikazipindua hizo sheria!Kuna mihimili mitatu serikali,bunge na mahakama.Bunge ndio hutunga Sheria.Swali Ni je bunge laweza shtakiwa mahakamani?
Maamuzi kubatilishwa!Adhabu gani bunge laweza pewa likikutwa na hatia
Limekiuka sheria, walizotunga wenyeweLisipotii kubatilisha maamuzi ya mahakama inakuweje
Lisipotii kubatilisha maamuzi ya mahakama inakuweje
Her mental powers can not comprehend the concept of judicial review of parliamentary decisions! these concepts are beyond her level of apprehension!Ndio umueleweshe sasa