Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
kusitisha vikaoAdhabu gani bunge laweza pewa likikutwa na hatia
unatumia akili nyingi kumjibu mpuuzi mkuu?..ikitokea ndani ya bunge, mbunge mmoja akamchoma kisu mbunge mwenzake, je shauri halitapelekwa mahakamani?
..mahakama inauwezo wa kusikiliza shauri kuhusu uamuzi wa bunge kubainisha kama uamuzi huo umekiuka katiba au kanuni ambazo bunge lenyewe limejiwekea.
..mahakama pia inaweza kusikiliza shauri linalohoji kama sheria iliyopitishwa na bunge inakiuka katiba au la.
yatosha kusema serikali imelibaka bunge awamu hii,
HujamboLoooo, kauli hiyo imejaa ukakasi, mambo ya ubakaji tena yametoka wapi?!! π€£π€£
Hutaki?Serikali imebaka?!?π
Hutaki?
Kakojoe ulale...kwanini serikali ilitongoze Bunge wakati ni ndugu dam dam..kwanini isingetongoza umasikini ,ujinga na maradhi ili tutoke tulipo?Bunge "limebakwa" na serikali, serikali
Imeshindwa "kutongoza" ??!! π€£π€£
Nataka uone "uchafu" wa maneno yako.
Kakojoe ulale...kwanini serikali ilitongoze Bunge wakati ni ndugu dam dam..kwanini isingetongoza umasikini ,ujinga na maradhi ili tutoke tulipo?
Linacharazwa risasi 16.Adhabu gani bunge laweza pewa likikutwa na hatia
Sisomi mimi ni kiranja mkuu..Sasa kama Bunge na serkiali ni ndugu na Serikali haiwezi kutongoza nduguye iweje sasa Serikali iweze kumbaka nduguye ??!!---- kapige mswaki unywe chai uwahi shule, hii ni alfajiri.
Sisomi mimi ni kiranja mkuu..
Jana nilienda kuvuna pilipili mara daa mapishano ya reli na meli pale Idodi sikufichi,kwa sasa huwezi kuingia Buza bila Passport pia sikujua kwamba Khalid Chokoraa anakaa Tandale hadi jana ajali ya Moto Morogoro iligharimu km 15.7 salio lako liko chini ya daraja la mfugale!Wewe ni Mwalimu mkuu au kiranja mkuu??!! ππ
Jana nilienda kuvuna pilipili mara daa mapishano ya reli na meli pale Idodi sikufichi,kwa sasa huwezi kuingia Buza bila Passport pia sikujua kwamba Khalid Chokoraa anakaa Tandale hadi jana ajali ya Moto Morogoro iligharimu km 15.7 salio lako liko chini ya daraja la mfugale!