Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Acheni wivu mtuache na sisi tuenjoy. Mnabweka bweka kwasababu hamjateuliwa.Wabunge wa Viti Maalum hawajui kazi zao, hawajui miongozi, hawajui kanuni lakini hawajui maana ya Bunge na wamekuwa wakuzungumzia maisha yao binafsi wakitaka kuaminisha ni tatizo la kitaifa na ukiangalia mochango mingi huwa ni mahusiano.
View attachment 3585292