Bunge lijadili suala la Sera inayopendekeza Elimu ya Msingi kuishia Darasa la Saba

Bunge lijadili suala la Sera inayopendekeza Elimu ya Msingi kuishia Darasa la Saba

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Hivi karibuni Wizara ya Elimu ilipendekeza Sera mpya ya Elimu ya Msingi kuwa; iishie darasa la sita.

Sasa tunaliomba Bunge letu lijadili Sera hiyo muhimu sana kwa Elimu yetu ya msingi, ili kama inapitishwa basi ianze kutumika mara moja.

Wananchi wamekubaliana na mapendekezo hayo, jambo lilobakia ni kujazia na kuanza kutumika.
 
Nazani ni mapema sana kuipitisha hio sera. Sababu madarasa ya kidato cha kwanza yatakua double loaded.
Na n dhaili tunauhaba wa madarasa.

Itakua ni busara kama tukajipanga kwa kujenga madarasa ya kutosha kiasi tuseme, we have extra classrooms and desks nchi mzima ambayo yanaweza kuaccomodate new students alaf tuka employ another bundle of teachers in each school having different proffesions , I mean waalm wa sayans , arts, michezo, economics, biznez e.t.c. ndo tuiptshe hio sera.

Bila hvo tutapata malalamiko kila uchwao, kule hakuna madawati, huku hakuna waalimu, hapa wanasomea chin ya miti, shule ile utoro ni mwngi.
nawasilisha.
 
Nazani ni mapema sana kuipitisha hio sera. Sababu madarasa ya kidato cha kwanza yatakua double loaded.
Na n dhaili tunauhaba wa madarasa...
Kumbuka wanaotoka kidato cha 4 nafasi/ madarasa mengine yanapanda juu, hivyo hakuna uwezekano wa upungufu wa madarasa wala madawati, mtiririko utaruhusu nafasi kwa wanao ingia. Kuna wanao ingia na kuna wanao toka na kuna wanao sogea.

Tunawasomi wa kutosha wa fani mbalimbali, Serikali ikitangaza ajira hata leo utaona wataalamu watakao jitokeza. Tanzania ya leo sio ya mwaka 77.

Mabadiliko haya hayahitaji kujipanga sana zaidi ya kuweka mambo sawa tu.
 
Angalizo:

1. Wamiliki wa Shule binafsi wasiruhusiwe kujadili Sera hii, maana wao wanafanya biashara na hivyo hawatopenda Elimu iishie darasa la sita kwani kwao ni hasara, lengo lao ni kutengeneza pesa kwa miaka 7.
 
Watakaomalza kdato cha 4 kwa shule moja roughly n 200 na new entry next year m double ie 400, madarasa yaliopo n kwaajl ya 200 so vp ao 200 extra ?!
Sawa wataaalam kwa maana ya waalim unemployed wapo mtaan but ile rate ya kuajiliwa n ndogo uklinganisha nabmahitaji.
Rate ya ujenz wa madarasa kwa kwel haipo clear. I can say we are in need of more classrooms and other learning materials like text books, mahabara, maktaba, vyoo, miundombinu ya maji , etc
Ijulkane sio shule za binafs au za serkal kot kuna shda ya ya vitabu.
N Bora kwang mm kujiandaa kwa kwankua na reserve of materials kulko kusubl kuona huitaj.
Nazan m2 ukiamua kuanzsha familia tuseme unataka kuoa, unaanza kujipanga kwa labda n kupanga chumba, au kujenga kabsa, itanunua chakula na ikbd huduma zngne za kjamii. Labda itokee hukujipanga kuoa sema mimba ndio ikalazmsha uanzshe familia bas utajpanga taratbu.
Besides hii sera sio n kama tunaanzsha familia, tujpange kwanza.
 
Back
Top Bottom