Nazani ni mapema sana kuipitisha hio sera. Sababu madarasa ya kidato cha kwanza yatakua double loaded.
Na n dhaili tunauhaba wa madarasa.
Itakua ni busara kama tukajipanga kwa kujenga madarasa ya kutosha kiasi tuseme, we have extra classrooms and desks nchi mzima ambayo yanaweza kuaccomodate new students alaf tuka employ another bundle of teachers in each school having different proffesions , I mean waalm wa sayans , arts, michezo, economics, biznez e.t.c. ndo tuiptshe hio sera.
Bila hvo tutapata malalamiko kila uchwao, kule hakuna madawati, huku hakuna waalimu, hapa wanasomea chin ya miti, shule ile utoro ni mwngi.
nawasilisha.