Siku zote nasema Upinzani Barani Africa Haujitambui Wewe One hoja za upinzani
Uhuru na maendeleo 👈 Upinzani
Maji+Elimu Bure +Umeme+Barabara Safi+Haki sawa+Maendeleo 👈 CCM
Hivi kweli kwa akili yako unaweza kumwambia mtu kuhusu UHURU huku yeye anachota maji Umbali mrefu? Kweli? Ety Uhuru wakujieleza acheni ujinga hamna binadamu yeyote anayeweza kukuelewa katika Hilo