bunge limeisha,utumishi ajira 2000?

bunge limeisha,utumishi ajira 2000?

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
nliwahi kuskia kua ajira zile ztakua processed baada ya kuisha bunge.nashangaa hata tetesi tena hakuna.wadau anayejua atupe hints japo kidogo.bench noma jaman.khaaaaa...
 
tuendelee kusubiri tu mkuu! mana kuna msemo wao,kibali hakijatoka bado
 
wizara ya maliasili na utalii wamesema wataajiri zaidi ya watu 1000 kwa huu mwaka kuanzia nov2012 so let us wait
 
nliwahi kuskia kua ajira zile
ztakua processed baada ya kuisha bunge.nashangaa hata tetesi tena
hakuna.wadau anayejua atupe hints japo kidogo.bench noma
jaman.khaaaaa...

mh!mi nilifikiri wameshaita,kwani walioitwa Kwenye interview iliyotangazwa Kwenye website ya utumishi recently sio wa ajira zile 2000?
 
thanx dude im happy to hear dat men cz nilikua confused alredy,wen its ready tuambiane ôkkÿÿ
 
2endelee kusubili ila 2kumbuke umri + maisha hayato2subili kama una nafac jishugulishe hata ujasliamali kidogo
 
2endelee kusubili ila 2kumbuke umri + maisha hayato2subili kama una nafac jishugulishe hata ujasliamali kidogo
Ujasiriamali bila capital? Aisee capital ni mzozo comrade
 
Back
Top Bottom