BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Bunge la Kenya leo Oktoba 17, 2022 linapitia wasifu wa Mawaziri walioteuliwa na Rais Ruto na kisha kuwaidhinisha katika nafasi hizi.
Katiba ya Kenya inaagiza nafasi mbalimbali za Uongozi ikiwemo Mawaziri kupata ridhaa ya Bunge kwanza kabla ya kuanza kutumikia Serikali.
Fuatilia hapa LIVE.