Bunge linachunguza wasifu wa Mawaziri na kuwaidhinisha rasmi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826


Bunge la Kenya leo Oktoba 17, 2022 linapitia wasifu wa Mawaziri walioteuliwa na Rais Ruto na kisha kuwaidhinisha katika nafasi hizi.

Katiba ya Kenya inaagiza nafasi mbalimbali za Uongozi ikiwemo Mawaziri kupata ridhaa ya Bunge kwanza kabla ya kuanza kutumikia Serikali.

Fuatilia hapa LIVE.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…