johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
2015!Hao wabunge walipigiwa kura lini wakashinda?
Katiba imekanyagwa laivuUtopolo tuu.
Kwa katiba hii, mbunge hawezi hama chama, halafu akasalia kuwa mbunge, kwenye bunge hilohilo moja.
Unajisahaulisha hata Cecil Mwambe?Utopolo tuu.
Kwa katiba hii, mbunge hawezi hama chama, halafu akasalia kuwa mbunge, kwenye bunge hilohilo moja.
Katiba siyo msahafu bwashee!Katiba imekanyagwa laivu
P bana unachekeshaha sanaBunge linavunjwa huku vyama vya CCM, Nccr na ACT wazalendo vikifaidika kwa kuvuna wanachama wapya miongoni mwa wabunge na Chadema na Cuf vikipoteza.
Hongereni Mbatia na Zitto na Spika Ndugai
Poleni Mbowe na Magdalena Sakaya
Maendeleo hayana vyama
Hahaaah kwa hiyo tunaweza kufanya hata kinyume chake??Katiba siyo msahafu bwashee!