Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW.
Kazi kwenu watanganyika, waandikieni hata email hao wawakilishi wenu. (email zao zipo kwenye tangazo hapo)
Vifungu vinavyobadilishwa hivi hapa.
Ni kama utani vile. Yaani tumetunga sheria ili kujilinda na aina hii ya uhuni, alafu leo inakwenda kubadilishwa ili tupigwe tena 🤣🤣🤣🤣. Dah!