Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
STUPID, WAMEDHAMIRIA. ATANGANYIKA TUSHIKAMANEKweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW. Kazi kwenu watanganyika, waandikieni hata email hao wawakilishi wenu.
View attachment 2711108
Vifungu vinavyobadilishwa hivi hapa.
View attachment 2711109
View attachment 2711110
Nimekwisha wahi hudhuria vikao kadhaa vya kutoa maoni na mara zote mwenyekiti wa kikao anaburuza kikao akiongozwa na Waziri au AG kufikia malengo ya serikali.Tumeni maoni, msipotuma watasema hatukupata maoni yoyote.
Mtachoka tu na mwisho wa siku mtanyamaza wenyewe.Matapeli tu, baada ya kuingia mkataba wa hovyo wa bandari, wakaupitisha bungeni, ndio wanatualika kutoa maoni yetu sasa baada ya kugundua kosa lao walilofanya kwenye ule mkataba wa bandari.
Hasa baada ya kuona kesi iliyofunguliwa mahakamani, miongoni mwa yale yanayolalamikiwa ni watangannyika kutopewa nafasi ya kutoa maoni yao.
Hiki wanachokifanya sasa ni kuhalalisha haramu kupitia kwa watanganyika, hakuna maana kwa mtanganyika yeyote kwenda kutoa maoni yake kwenye jambo ambalo limeshakosewa, muhimu ni kuvunja ule mkataba wa hovyo wa bandari tuanze upya, bunge linachofanya sasa ni utapeli mtupu.
Samia na hawa vibaraka wake wametukosea sana watanganyika, wasitudanganye kwa haya maigizo wanayofanya sasa, na kama hili tangazo limekuja makusudi baada ya kuahirisha kusoma ile hukumu kule Mbeya, vyema watambue ndio wanajidanganya zaidi.
The first civilization who slavery Africans were Arabs, they took them from eastern coast pre- European colonies. Hapa wanarudi tenaKweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW.
Kazi kwenu watanganyika, waandikieni hata email hao wawakilishi wenu. (email zao zipo kwenye tangazo hapo)
View attachment 2711108
Vifungu vinavyobadilishwa hivi hapa.
View attachment 2711109
View attachment 2711110
Ni kama utani vile. Yaani tumetunga sheria ili kujilinda na aina hii ya uhuni, alafu leo inakwenda kubadilishwa ili tupigwe tena 🤣🤣🤣🤣. Dah!
Tena hawa ni wabunge wa JPM, wengi wao wasingekuwa pale bila mbeleko yake. Leo wamekengeuka kabisa.Ati nini?
Nauli wanatoa?
Maoni yangu ni haya! Raisi aliyeanguka saini kuridhia sheria hizo na wabunge waliozipitisha sheria hizo bado wapo? Wao wanajisikiaje wakiona wabunge wenzao wanakwenda kuondoa kile waliamini kinatija katika kulinda rasilimali zetu? Wanajionaje yaani!
Kama wanajiona poa! basi sawa,
email na barua wanapokea pia.Ati nini?
Nauli wanatoa?
Maoni yangu ni haya! Raisi aliyeanguka saini kuridhia sheria hizo na wabunge waliozipitisha sheria hizo bado wapo? Wao wanajisikiaje wakiona wabunge wenzao wanakwenda kuondoa kile waliamini kinatija katika kulinda rasilimali zetu? Wanajionaje yaani!
Kama wanajiona poa! basi sawa,
Ni kweli, wakiamua kuiba wataiba tu. Kwasababu hatuna historia ya kuwajibusha watu wakishatoka madarakani ndio maana hawana hofu.Mtachoka tu na mwisho wa siku mtanyamaza wenyewe.
Kelele zenu za mitandaoni haziizuii serikali kufanya yake