Bunge linazidi kujifia taratibu

Bunge linazidi kujifia taratibu

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Bunge letu lipo ICU, wamepoteana; spika Hana taarifa kamati zilikwenda kukagua nini ila aliwawezesha. It sounds like fedha za matembezi zilitoka.

Wabunge wameacha kusimamia serikali wanatetea serikali kwamba wao wanataka kutuambia Mawaziri wote wapo vizuri ila watumishi WA umma ni vichomi. Kwamba madudu yote yaliyotajwa kwenye ripoti makosa yametendwa in absence ya wanasiasa? Kwanini sasa tuna wanasiasa kwenye mfumo wa serikali tena wakiwa na final say kwenye kila sekta?

Kwamba halmashauri zinaibiwa Baraza la madiwani ambalo wabunge ni wajumbe awajui? Wabunge wanaacha kujua madudu yanayofanywa walipozaliwa? Kwamba ubovu wa miradi unafanyika gizani?

Tunapaswa kutambua Bunge limejifia na hata kama litakuja la vyama vingi hakuna changes; uwezo wa wanaoitwa wabunge umeshuka Sana. Kupeana dili kutaendelea kuila nchi
 
Ndio ukweli na kiongozi wao ndio mtupu na bure kabisa.
 
Mkuu sahivi ukitaka kula kwa raha niku overpriced tu kwenye makadirio ya ununuzi wa vifaa hata hao madiwani na wqbunge ndo hapo wanapo pigia pesa
 
Back
Top Bottom