Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni msaada kwa anaye fahamu, kama bunge litakuwepo au la..kama litakuwepo je ni saa ngap na shughuli zipi ni za leo
mkuu Skype,unanipata? Ni kwamba kwa siku ya leo Bunge limeanza saa 3 kamili asubuhi. Na leo kinachoendelea ni semina kwa wabunge kuhusu kanuni za bunge hilo. Kwa vile hakuna kipya kinachojadiliwa au kwa vile hakuna maamuzi yanayofanyika, ndo maana sikuona haja ya kuweka uzi humu. Kumradhi wadau kwa hiloChabruma tunaomba jibu hapa tafadhali
mkuu Skype,unanipata? Ni kwamba kwa siku ya leo Bunge limeanza saa 3 kamili asubuhi. Na leo kinachoendelea ni semina kwa wabunge kuhusu kanuni za bunge hilo. Kwa vile hakuna kipya kinachojadiliwa au kwa vile hakuna maamuzi yanayofanyika, ndo maana sikuona haja ya kuweka uzi humu. Kumradhi wadau kwa hilo
Ahsante sana mkuu. Tuungane kesho wakati tukifuatilia semina ya wenzetu kutoka KenyaShukrani mkuu nimekupata vema kabisa, nikutakie siku njema.
Ahsante sana mkuu. Tuungane kesho wakati tukifuatilia semina ya wenzetu kutoka Kenya
Naombeni msaada kwa anaye fahamu, kama bunge litakuwepo au la..kama litakuwepo je ni saa ngap na shughuli zipi ni za leo