Tanzania sio ya Vibaraka wa mabeberu, na masaliti kama ilivyo CHADEMA
Kama ilivyo CHADEMA. Imejaa vibaraka wa mabeberu, masaliti, waasi, magaidi, wauaji, wachochezi na waongo.
Wewe mwenyewe ni mamluki na ni mkoloni tu anayejinasibu Utanzania. Mpuuzi tu anayetawaliwa na fikra na mawazo ya Mkoloni.
Hakuna kitu cha kijinga kama hili Bunge la kijinga mno na halifai hata kuwepo. Unatarajia nini mtu wakati wa kampeni mwanaume anakuna nazi ama anaosha vyombo kama njia ya kushawishi wapiga kura wamchague.Kila Mara naandika hapa, kama ingekua tunafanya biashara, hiki kitengo Cha bunge tungeachana na hiyo biashara kabisa. Kukuangalia pesa tunapoteza Kwa bunge na tunachokipata, having uwiano kabisa. Ni zaidi ya hasara.
Bora tungekua na kikosi Cha watu walioajiriwa, wabobevu wa Sheria, utawala na kusimamia mipango. Hao ndio wawe na jukumu la kuishsuri, kusimamia na kupitia mambo ya kitaalam yanayohusu Sheria. Uwakilishi wa wananchi utapitia madiwani huko ngazi za wilaya, tawala za mikoa na kufikia hii tume.
Hawa jamaa wataomba kazi kulingana na sifa na watalipwa mishahara.
Tuachane na Hawa watu wasiokatwa hata makato ya kutuma 20k Kwa mitandao ya simu. Wanawakilisha maslahi yao zaidi na sio wananchi Tena.
soma tena.Haijasaidia kukuonesha ulivyo zuzu kwa sababu umeandika upuuzi tu unaouwaza.
Wewe huwa unajulikana humu JF kwa uzuzu wako uliopea viwango.Chawa unayetaga wewe!soma tena.
Unakumbuka lakini?
Huna uwezo wowote ule wa kupima akili. Huna. Usijututumue na ngonjera na upuuzi wako.Punguani endelea kupiga kelele, lakini ujue kuwa mada ni kwaajili ya watu wenye akili timamu, siyo wewe.
Soma tena 💉Wewe huwa unajulikana humu JF kwa uzuzu wako uliopea viwango.Chawa unayetaga wewe!
Bado haikuondolei uzuzu wako.Wewe umesoma ulichokiandika/kukicharaza huku unatetemeka.Chawa tu wewe!Soma tena 💉
Kwani hukufundishwa shuleni?
Wewe kweli umeishiwa, kila mtu anayekushida hoja, ni zuzu, amashika wowowo ma ni chawa.
Angalau ujaribu kuwa mbunifu kidogo, hiyo script ishapitwa na wakati.
Rejea tena nilichoandika.
Haha. Kanywe uji sasa.Bado haikuondolei uzuzu wako.Wewe umesoma ulichokiandika/kukicharaza huku unatetemeka.Chawa tu wewe!
Wewe uzuzu wako upo kwenye damu/DNA yako.Hamna mtu wa kukunyang'anya.Haha. Kanywe uji sasa.
Karau. Soma tena.
Nimekupuuza. Nitaendelea kujadiliana na wenye akili timamu, watu walio wakweli wanafsi, wenye uzalendo wa kweli kwa Taifa lao, siyo wewe chawa mnafiki.Huna uwezo wowote ule wa kupima akili. Huna. Usijututumue na ngonjera na upuuzi wako.
Nimesema wewe ni Mamluki tu
Tangia umezamia hapa Tanzania, hujawahi kulitakia Taifa letu mema. Wewe ndio Mkoloni mwenyewe
...Watu wenye akili timamu huwa hawachochei Uasi juu ya Taifa lao.
Haha. Angalia ulivyopotea.Wewe uzuzu wako upo kwenye damu/DNA yako.Hamna mtu wa kukunyang'anya.
Nimekupuuza. Nitaendelea kujadiliana na wenye akili timamu, watu walio wakweli wanafsi, wenye uzalendo wa kweli kwa Taifa lao, siyo wewe chawa mnafiki.
Sawa kibaraka aka chawa wa watawalaTanzania sio ya Vibaraka wa mabeberu, na masaliti kama ilivyo CHADEMA
Vumilia tu. Subirini Nusu mkate.Sawa kibaraka aka chawa wa watawala
Hakuna Bunge hapa ila kuna Rubber Stamp ya Mtawala.
Mnoooo yani
Sasa kwann wana nchi mnawarudisha tena bungeni kma hawana faida ….. kuna haja gani kwwnda kwwny sanduku la kura na kupoteza muda kwa watu wasio faaBunge letu limepoteza ile heshima ya kuitwa Bunge tukufu. Sasa hivi asilimia kubwa kama si yote, wanawaza hela afanye mambo yake na familia yake.
Hawezi kupinga chochote, kisicho na maslahi na wananchi. Yuko pale kwa aliyemuingiza Bungeni. Kuanzia spika mpaka huyo mbunge wa daraja la pili, viti maalum.
Leo hii hata wewe unayesoma hapa, ukiwa tu na connection, unaingia Bungeni. Watu wa hivi, ndiyo tuwategemee kwa fikra kubwa tunajidanganya.
Viti maalum VIFUTWE, wanawake sasa tunaweza kusimama na mwanaume, jimboni na kutangaza sera na kushinda. Hii viti maalum ni kirusi wao kila kitu ndiyo, hawana msaada.
Wao hawakatwi kodi, wana hasara gani kupitisha kila kitu, kinachomkandamiza mwananchi. Bunge hili, ni kufuga wavivu, wanalipwa bure, wananenepeana hovyo. Tunataka Bunge lenye tija si hili la kupeana kama zawadi.