Bunge Lisilo Na Faida Kwa Watanzania Lijitafakari

Siasa za bongo zinaumiza mioyo yetu wazalendo.
Mbaya zaidi ni ujue kua hii kitu inafanywa kisiasa tu hamna kitu, huku wale wanaoujua mchezo wakihinikiza na wananchi mbumbumbu nao wapige makofi pamoja nao.
Mbaya zaidi ni pale hao mbumbumbu wakiunga mkono na kufurahia hizo ngonjera za wanasiasa.
 
Kweli hawa ndugu zetu kama wanaenda dom kupiga porojo na mambo yasiyo na maana kwa taifa na unaweza kusema kila wakienda dom na wakirudi ndo hali inakuwa mbaya zaidi kwa watu wa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…