Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesikika akisema kuwa kwa sasa anataka bunge lipewe nafasi zaidi ya kusikika na anataka wabunge wajitahidi kuwa wasemaji, wasiwe mabubu wasijipendekeze. Hii ina maana ana mashaka na wabunge wake upande huo.
Uchambuzi wa haraka unaonesha kuwa itakuwa ngumu sana kupata ubora genuine anaotaka kutuaminisha kama hakuna ushindani unaolenga kupata dola , ambao ndio msingi wa ushindani wa Kibunge .
Njia atakayokuwa nayo Job Ndugai kwa sasa itakuwa ile ya kupanga maigizo kabla ya kuingia bungeni kama njia ya kufanya propaganda ili bunge lionekane linafanya kazi ...kwa kutumia sanaa za maigizo ...mfano kabla ya kuingia Mbunge analishwa SCRIPT na kujazwa emotions na WAZIRI naye anaandaliwa ...kufanya senema .... "problem creation ;problem solving strategy" ....tutegemee kuona senema hadi za kufukuzana au kutoana nje ...ili tu kuwahadaaa watu na kujaribu kubakia relevant .
Hii ni tofauti na unapokuwako upinzani ambako hoja zinakua genuine
Lakini pia tukubali kuwa wapinzani wanatumia sana vitengo vyao vya utafiti ...na kuhakikisha wabunge wanatoa hoja ,na hata wabunge wao "mabubu' wanawanoa , hii ni tofauti na wabunge walio wengi wa CCM ambao wengi huwa hawana muda wa kusoma nyaraka na makabrasha ....sijui kama kwenye hili watakuwa tayari kubadilika .