Bunge la Ndugai hovyo tupu!Kuna wakati bunge liko live kuna wakati liko off hapohapo linapokua off wa Bunge wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao ya kijamii maana yake wanapenda live,
Hoja inatolewa live wakati wa kujadili bunge off wakati wa kupitisha live mh Ndugai nini hiki?
Ni mwanzo mzuri.
Halieleweki ni huru au bado kizaniBunge la Ndugai hovyo tupu!
Kumbe hua wanarusha most important eti.Kuna wakati bunge liko live kuna wakati liko off hapohapo linapokua off wa Bunge wanajirekodi na kurusha kwenye mitandao ya kijamii maana yake wanapenda live,
Hoja inatolewa live wakati wa kujadili bunge off wakati wa kupitisha live mh Ndugai nini hiki?
Ndugai anatakiwa kufikiria sawasawaKumbe hua wanarusha most important eti.