Bunge live, Kuna Mic imesikika inasema “kuna wanawake zako wanapiga” 😀

Na Mimi naona wanawake wenzake walioko Bungeni wanapiga makofi tu
 
Kwa hiyo kuna mbunge ana michepuko inampigia alafu ananyuti kutokana na mazingira ya upokeaji kuwa mgumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…