Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Ni hivi karibuni tumesikia habari za mawaziri na wabunge nchini UK kujihudhuru kutokana na kudai na kopokea marupu marupu kwa njia za kiujanja ujanja.
Kwa serikali na bunge la tanzania ambavyo ni vyombo vya kuwawakilisha wanachi inatakiwa vifanye kazi kwa uwazi.Kwa United Kingdom kujua au kuapata taarifa za mshahara na marupurupu ya Waziri mkuu na viongozi wote wa serikali . Lakini kwa tanzania naona ni tofauti hata wafanyakazi wa mshahara wanaambiwa ni siri. Hizi siri na mambo ya kuficha ficha mambo ndiyo yanasababisha tuwe hapa tulipo leo kwenye kashfa za ufisadi.tuacahne na tabia za kuficha ficha mambo ili viongozi wasiwe jasiri wa kufanya wasiyotakiwa kuyafanya.
Tumewai kusikia wabunge na mawaziri kutumia nyaraka za kughushi kupata matibabu nje ya nchi. Siwezi kushangaa kuna ujanja ujanja unatumika kwenye marupurupu mengine iwe kwa wabunge , mawaziri na viongozi wote wa idara na wizara za serikali.
Natoa changamaoto kwa waandishi watuletee habari je rais anastahili ya mshahara kiasi gani , mkewe rais ofisi yake imetengewa bajeti ya kiasi gani? Bunge limetumia shilini ngapi kutibu familia za wabunge nje ya nchi? Je pensheni ya mbunge kwa muda wa miaka mitano ni shilingi ngapi?
Niemfuatilia kwa karibu sakata la marupurupu ya bunge la UK na nikaona hili bomu la marupurpu limo hata kwenye mabunge yetu ya afrika. sasa changamoto kwa spika ni afanye bunge liwe mfano kwa serikali. kama serikali inaendesha mambo yake kwa siri siri basi Spika awe devera wa kulifanya Bunge liwe TRANSPARENT.