#COVID19 Bunge nchini Ghana kuchunguza matumizi ya Trilioni 3.5 za COVID-19

#COVID19 Bunge nchini Ghana kuchunguza matumizi ya Trilioni 3.5 za COVID-19

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wabunge wameidhinisha mpango wa kuchunguza matumizi ya Tsh. Trilioni 3.5 zilizotengwa kudhibiti kuenea kwa COVID19 na kuwaokoa raia dhidi ya athari za kiuchumi za janga hilo kufuatia madai ya kutofautiana kwa stakabadhi za malipo yaliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Ken Ofori-Atta.

Wabunge wa upinzani wamedai kuwa Waziri huyo alishindwa kutoa maelezo ya kuridhisha kwa kuwa takwimu zake zilikinzana na zile za awali zilizowasilishwa na Rais Nana Akufo-Addo wakati wa hotuba ya taifa.

Aidha, Waziri huyo amesema Serikali imewajibika na kuwa wazi katika matumizi ya fedha hizo.

............

Ghana’s lawmakers have approved a plan to investigate how funds worth $1.5bn (£1.2bn) were spent in the fight against Covid-19.

It follows alleged discrepancies in receipts and payments presented to MPs by Finance Minister Ken Ofori-Atta.

Opposition MPs said the minister had failed to give a convincing explanation when he appeared before parliament on Wednesday.

His figures contradicted earlier ones presented by President Nana Akufo-Addo during a state of the nation address.

But the minister said the government had been accountable and transparent in the use of the funds.

Nevertheless parliament Speaker Alban Bagbin ordered the parliamentary committees on finance and health to investigate the management of the funds.

The money was allocated to contain the spread of the virus and cushion Ghanaians against the economic impact of the pandemic.

SOURCE: BBC
 
Back
Top Bottom