Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Bunge la Tanzania Leo limeanza kikao vyake jijini Dodoma ambapo bunge ili litajadili taarifa za kamati tatu muhimu, ambazo zimewasilishwa na kamati hizo za kudumu kamati hizi zimewasilisha taarifa muhimu baada ya kupitia taarifa ya Cag ambapo makati hizo tatu za kudumu ambazo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC),
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) kamati ya kudumu ya bunge ya ukaguzi mashirika ya umma PIC
Kamati hizi katika taarifa zake kuna madudu Mengi ya yameibuliwa na kamati zote tatu, kimsingi kamati hizi ni uti wa mgongo wa matumizi ya Fedha nyingi za serikali asa kamati ya Laac ambayo ukagua hesabu za serikali za mitaa.
Jambo ajabu ni kitendo cha Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wabunge ambao ni Waziri Mkuu wa Kassim Majaliwa na Katibu wake, Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi wameitisha kikao siku ya jana (Oktoba 28, 2024) ambacho kilikuwa maalum kuwapa maelekezo ya kujadili taarifa hizo.
Soma Pia: Bunge labaini uozo ukusanyaji mapato, Kisarawe Halmashauri sugu!
Waziri Mkuu amewapa maelekezo Wabunge wa CCM wachangie hoja kwa kusifia taarifa hizo ambazo ndani yake kuna utafunaji wa Fedha za Maendeleo ambao umefanyika katika halmashauri zikiongozwa na Dar, Leo hii Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa anawafundisha wabunge wachangie kwa Kusifia na kama hawawezi wakae kimya.
CCM tunawakumbusha bunge lipo Kikatiba acheni kugopa uchaguzi, Rais Samia atahumiwa na matatizo aliyoyasabisha ugumu wa Maisha utaamua acheni kuogopa uchaguzi.

MAZITO : kisheria yafafanuliwa