Bunge la serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam,(DARUSO) lilikataa kuipitisha bajeti iliyoletwa na serikali siku ya jumamosi tarehe 31 juni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutokuwemo kwa baadhi ya vyanzo vya mapato vya serikali.
katika kikao hicho cha bunge kilichoanza saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana kilimalizika bila utaratibu huku wabunge na mawaziri wakiwa wameghadhibika kutokana na kutoridhishwa na mambo yalivyokwenda hususani kuyumba kwa kiti cha spika
bajeti hiyo iliyokuwa ikioneshwa kuwa serikali ya wanafunzi ina jumla ya mapato ya milioni 132 huku matumizi yakikadiriwa kuwa milioni 124.
utata wa bajeti hiyo ulizidi kuongezeka baada ya wabunge kuhoji kwann hakuna fedha za posho ya mawasiliano walizotengewa ilihali mawaziri wanazo?
spika wa bunge la DARUSO Protas Petro pia alionekana kuyumba mno huku akishindwa kukimudu kiti akishindwa kukimudu kiti kwa kushindwa kutoa miongozo sahihi kila ilipohitajika,
Serikali ya wanafunzi chini ya rais Filbert Nickson inatarajia kuirejesha tena bajeti bungeni ikiwa na marekebisho husika mnamo juni 14, 2014