Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
''Wasi wasi ndo akili'' bwaa shee! ilitamkwa miaka mingi sana hii na wahenga! wajita wanasemaga hivi---Omwikengi akirire omuragulwa!! unajua manake mkuu........ndo sawa na iyo hapo!1Kumbe mwana ni mwoga na mwepesi kiasi hiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amekataa kukaa kwenye kiti pamoja na kutumia kipaza sauti alichoandaliwa alipofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mwenyekiti wake Emmanuel Adamson Mwakasaka, na kuomba vibadilishwe.
View attachment 1904929
View attachment 1904899
Pia ningekuwa na namba ya Askofu Gwajima ningemshauri akirudi tena jumatano kwenye kamati ile, aende na kiti chake na microphone 🎤🎤 yake, awe na watu wake wa usalama wa mtangulie.
Ndo hivo hata Yesu Wali/wanasemaga hakuja! alikuwa muhuni flani hivi!! hadi sasa napoandika!! jua kuwa ''Imani siyo Mali ya kila mtu!Tusubiri jumapili, utasikia arakatakatatakararaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakkkakakakakakaaka, nilinusa harufu ya hiziriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii adabakadabraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahskatraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hahaaaaaa pale hakuna mchungaji ni msanii tu
Nje ya kikao mwenyekiti ni mbunge wa kawaida tu!
Shida mnapenda sana habari za kusikia!
Naomba clip inayomuonyesha Gwajima kasema raid kapewa hela hapa!
Uzuri nimeangalia na kusikiliza clip zote za Gwajima live sijaona mahali akimtaja rais na waziri kuwa wamepewa hela!
Hiyo aliisemea wapi,tunaomba ushahidi!
Mimi sipendi unizowee. Kama wewe uko tayari nikuzowee sawa Ila ujue Kuna siku nitakuzomeaIla yeye kuwazoea wengine sawa ee?!! Ok
Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wakoAnajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Kuna kitu unamzidi? Kama huna maana yake yeye anakuzidiJamaa anajikuta great thinker fulani hivi kumbe boya tu
Namzidi IQ una lingine?Kuna kitu unamzidi? Kama huna maana yake yeye anakuzidi
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Imekusaidia nini? mwenzio ana wafuasi, ushawishi,umaarufu, ubunge, fedha, ameandika vitabu na anamiliki ndege na magari ana heka zaidi ya 500 Bagamoyo.Namzidi IQ una lingine?
Hata pepo uogopa poisonYaani hivi ni kweli kuwa kashindwa kuyakemea yale ' mapepo'yashindwe, yaliyokuwa kwenye kiti na 'mic' ?' kweli hiki ni kizungumkuti na walio na macho wameona...........
This is not an issue of imani haba hata kidogo.Imani haba.Ukiwa na imani haba hata chembe ya hardali,hutauona ufalme wa mbinguni.
Kama anaweza simama masaa mengi akikemea pepo atashindwa vipi simama masaa machache hayo.Mahojiano ya kesho watamwachia kiti kimoja tu bila viti vya ziada pembeni. Je atakataa kukaa ili wamuhoji akiwa amesimama ama atakwenda na kiti chake ukumbini?
Gwajiboy yuko very Smart upstairs!! Hilo halina ubishi. Fuatilia speech ya Gwajiboy wakti alipopewa nafasi kuhitimisha hotuba ya Rais marehemu JPM. Wakati wa kuzindua Bunge mwaka jana baada ya Uchaguzi 2020..!!Alichofanya gwajiboy ni kuwapiga chenga ya akili kitaalamu ipo hio amewawini wao kwa kuwabadili mpangilio wajumbe hizi ni mbinu za kuwini mahojiano.
Unawahamisha wao