Lakini ujue ni mpaka pale Mungu atakapo amua akulinde.Lakini Mungu zaidi,uchawi si lolote wala si chochote mbele ya Mungu.
Basi anza wewe kuwa mchungaji.Tusubiri jumapili, utasikia arakatakatatakararaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakkkakakakakakaaka, nilinusa harufu ya hiziriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii adabakadabraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahskatraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hahaaaaaa pale hakuna mchungaji ni msanii tu
Tangu alipochemka kumfufua Meko, kashajistukia unabii wake.Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Rudi kwenye bible.......... Injili ya Mathayo......Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Akili yako itakuwa ndogo sanaKama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Acha uvivu wa kusoma bible bro!Kama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Imeandikwa usimjaribu BWANA MUNGU wakoKama mtu anayejiita nabii ana maono , anayeweza kufufua watu , kuwapa utajiri ,kufukuza mashetani nk inakuwaje anaogopa kukalia kiti na microphone ambavyo kwa nguvu alizonazo angeweza kuvikemea na hayo madudu yaliyowekwa tungeyashuhudia live jana bungeni? Kwa kweli mimi sijamwelewa nabii gani huyu mwoga namna hii hadi kutegemea mabaunsa wamlinde ambao ni binadamu wenye madhambi kama wengine, au hamuamini Mungu halisi???. Anayemuelewa Nabii huyu naomba mwongozo hapa
Haamini kama Covid-19 ni halisiNabii anaogopa kukalia kiti na mic akiogopa kufa lakini barakoa havai waka vairas ya korona ipo kila mahali.
Mwanamme tu wa kawaida ambaye siyo Askofu kupeana mipasho na mwanamke ni jambo la aibu katika jamii, lakini huyu ni Askofu kabisa anatumia madhabahu kutukana mwanamke na kujibizana naye kama taarab za akina Khadija KopaTangu alipochemka kumfufua Meko, kashajistukia unabii wake.
Ndo maana badala ya kuhubiri kanisani kwake anatoa series za mipasho na kukusanya sadaka za misukule wake...
Teh teh tehTangu alipochemka kumfufua Meko, kashajistukia unabii wake.
Ndo maana badala ya kuhubiri kanisani kwake anatoa series za mipasho na kukusanya sadaka za misukule wake...
Hii inatokana na asili ya kabila lake ni wabishi mnoMwanamme tu wa kawaida ambaye siyo Askofu kupeana mipasho na mwanamke ni jambo la aibu katika jamii, lakini huyu ni Askofu kabisa anatumia madhabahu kutukana mwanamke na kujibizana naye kama taarab za akina Khadija Kopa