St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Akili gani alizonazo?Ndo maana alipewa akili! ila wewe pimbi unadhani anaogopa uchawi!
And he knows how to play right.Drama king [emoji1780]
Aya endeleza ujinga wako! Kwa hiyo ukiwa na imani ulale mlango wazi Mungu atakulinda? Stupid!Akili gani alizonazo?
Labda za kuwalaghai maboya kama wewe na misukule yake inayojazana kanisani
Je kama kaoteshwa hivo na Mungu wake asikalie wala kutumia mic aliyoikuta hawezi kupingana na maono yakeAnajifanya mcha Mungu halafu anakuwa na imani za kishirikina! Ni kipi kinamshinda Mungu iwe uchawi au sumu?
Amepiga mahesabu akakumbuka kilichompata Kolimba ....!!Drama king 🤴
Jasusi la mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona huwa anajigamba kwamba Mungu hashindwi na kitu na ndiye alituvusha kwenye wimbi la kwanza bila chanjo iweje Mungu huyo huyo leo asimwamini?Aya endeleza ujinga wako! Kwa hiyo ukiwa na imani ulale mlango wazi Mungu atakulinda? Stupid!
kakae mbele ya roli kama kweli una imani Mungu atakuokoa. yeye itakua amehisi wanaweza kuwa wameeka vitu sasa asiepuke kisa ana Mungu.Lakini Mungu zaidi,uchawi si lolote wala si chochote mbele ya Mungu.
Itakuwa shetani ndio kamuotesha.Je kama kaoteshwa hivo na Mungu wake asikalie wala kutumia mic aliyoikuta hawezi kupingana na maono yake
Hivi na ww unajitambua!Drama king 🤴
Itakuwa imani yangu haba lakini nikiwa na imani thabiti hakuna kitakachotokea kumbuka hata yesu aliweza kuyafanya aliyoyafanya kutokana na imani yake thabiti.kakae mbele ya roli kama kweli una imani Mungu atakuokoa. yeye itakua amehisi wanaweza kuwa wameeka vitu sasa asiepuke kisa ana Mungu.