Bungeni: Joseph Musukuma alalamikia TANESCO kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme na kukatika kwa umeme

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Pamoja na kubezwa elimu yake Joseph Musukuma ni mbunge anajiamini na hutoa ya moyoni na wahusika kama ni kushupaza shingo washupaze lakini ujumbe unawafikia mojakwamoja.

==========

Mheshimiwa mwenyekiti nitazungumza maswala yanayohusu na TANESCO peke yake. Mimi natokea vijijini ukifika vijijini sasa hivi tuna taharuki kubwa sana ya maswala ya bei yaliyotolewa na TANESCO. Sisi kama Kamati mwaka jana tulikaa tukakubaliana kwamba tuchukue hata vijiji vya mjini tuviweke kwenye bei moja sawa na vijiji vya vijijini ili wananchi wengi waweze kuingia kwenye mfumo wa bei ya shilingi 27,000.

Lakini ghafla mabadiriko yametokea na kuwatenga watu wa mjini na watu wa vijijini sasa najiuliza mimi muda mwingi niko Dodoma na kijijini kwangu nawaona hata humu wagogo masikini wako humuhumu ndani kwenye kata za mjini, lakini kuna watu vijijini wana mpka ghorofa tatu wanaishi na familia zao. Sasa hiyo hesabu iliyopigwa naona kama kuna upendeleo fulani. Naishauri serikali ile bei ya 27,000 iendelee mpaka kwenye kata za mjini ambazo ni na zenyewe zina watu masikini kama wale ambao wako kule vijijini.

Lakini la pili ni swala la kukatika kwa umeme hili swala linaleta taaluki kubwa sana ukatikaji wa umeme na kamamti imeona hakuna sababu za msingi ukisikiliza ni kama ubabaishaji fulani, tukumbuke wakati umeme umeanza kukatika Waziri Makamba aliruka mpaka na Helkopta akiionesha Tanzania kimataifa kuwa tuna upungufu wa maji mito imekauka lakini Chifu Hangaya akaomba mvua zikanyesha tukarudi tena kwenye mashine na hii mitambo inaendeshwa kwa masaa ndio maana kamati tumeomba TANESCO watuoneshe miaka mitano Service ilikuwa inafanyikaje ndani ya miaka mitambo kwa mitambo hii ya kisasa isipofanyiwa umeme itapiga kelele hakuna mtu atakaa humu ndani.

Ndio maana kamati tumeshauri kwamba ifanyike Service kimkoa mkoa kiupande upande na sio nchi nzima inakaa kwenye giza. Hizi sababu za TANESCO ni ubabaishaji tuombe TANESCO waje na sababu za msingi kwa nini umeme unakatika na tukose umeme sehemu nyingi za biashara. Sioni sababau ya hizi swaga zinazoendelee.
 
Huo mchango wake,
Ungeuandika TU ili kuepusha milolongo
Anasisitiza upigaji ni mwingi kuliko utendaji ila ni kwa njia ya 'kamati tumeshauli'

Jamaa kapiga nondo nimezielewa, issue ya umeme kukatwa ovyo, bwawa la Nyerere, garama za kuunganishwa umeme kuwa juu kwa masikini.
 
Wanasiasa malaya malaya , hawa hawa walikua wanaasema ile elfu 27 ilikua ndogo sana sasa wamegeuka tena ooh sijui hela nyingi, kuwa mboga mboga ni shida sana , unakua kama mwehu flani hivi usiejielewa.
 
Nimesikitika yaani Mtu anatoa hoja na Ushauri wa Maana sana halafu Mwenyekiti anamkatisha kisa Muda wake umekwisha. Chakushangaza unaweza kuona Mbunge mwingine hapo anasimama na kuongea issue ya kawaida tu halafu M/kiti akampa extra airtime.

So far Mh Msukuma Kichwa chake kiko Smart sana
 
Mradi umekwama kwa mda wa siku 400 january makamaba anatuona sisi kama hatunauelewa
 
Masalia chakavu ya Sukuma Gang yakiwa kazini.

[emoji95][emoji871]Wapumbavu kama wewe bado wengi sana huku mitaani.

[emoji871]Kwenu maisha ni ku-bet na kucheza Tatumzuka.

[emoji871]Mnazo akili za kuvukia mabarabarani na kuwaepusha na vifo.

[emoji871]Mnayo midomo inayoamini katika kula bila kutoa jasho.

[emoji871]Kisha mama zenu ndio wale wanaojazana kwa kina Mwamposa wakiwaombea mpate miujiza bila kufanya kazi.

[emoji871]Huwezi hata kupambanua mbunge huyu katetea maslahi ya vinyozi wanaokuweka mjini na pia maslahi ya wajasiliamali wa uwekezaji unaotegemea nishati ya umeme nchini?

[emoji871]Umekariri fitna na majungu tupu!

[emoji871]Mimi sikufahamu,lakini kwa uchangiaji wako ni dhahiri uliwahi au mama yako au dada na baba yako ni kundi la vyeti fake [emoji58]

[emoji871]Sijui unateseka ukiwa wapi?
 
Maslahi ya Taifa letu yanalindwa na CCM ambacho ni chama dola na chama makini, Wote hawa ni wana CCM, anayelalamika kwamba mradi umefisadiwa na anayelalamikiwa wote ni wabunge wa CCM na ni CCM ndiyo inayoongoza dola - Kama kweli Makamba ni tatizo basi huwezi kumtenganisha na CCM sababu yupo hapo alipo kwa sababu ya CCM.

Ndiyo maana tunasema huyo Msukuma aitwe kwenye vikao vyetu vya chama aseme tuhuma zake kama zina mashiko sababu kumwacha aendelee kubwabwaja ni kuzidi kuichafua CCM kwamba imeweka watu wasio makini katika Wizara zake wanaoshindwa kuendeleza miradi hii yenye tija kwa taifa letu.
 
Umemjibu vuzuri sana mkuu huyo jamaa anaishi kwa kukaririshwa hajui kupambanua hoja na kuona nini kimeelezwa na kinamslahi gani kwa taifa , amebaki kuwa mshabiki wa mtu na kundi analoliamini katika utawala! Mawazo yake yamebaki tu kwenye neno la sukuma gang
 
Tunarudi kule kule - nchi ya walalamikaji!
 
Back
Top Bottom